Ardhi ya Zulani EPS 1

Wanasema mapenzi ni upofu. Naye anasema kuwa upofu ulimpata pale alipopenda. Lakini afanye nini? Alishapenda, na lililopangwa kuwa, limeshakuwa. Huyu hapa, amekaa chumbani kwake kama ilivyo kawaida yake kila siku, akiandika tena waraka mwingine. “Mimi ni Habil Hosny, kijana wa…



