Simulizi zetu zimewekwa kwa mfumo safi wa kidijitali (PDF) na wavuti, kukuwezesha kusoma mwanzo wa riwaya bure moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako popote ulipo.
UBORA WA JUU
Nunua token kidogo kwa njia rahisi ya mtandao wa simu. Kila token inakupa uwezo wa kuendelea na vipande vinavyofuata vya simulizi bila kizuizi wala usumbufu.
SALAMA NA HARAKA
Bofya kitufe cha kufungua kwenye mwendelezo wa hadithi ili kukata token na kuendelea kusoma papo hapo, au lipia nakala kamili ya riwaya nzima mwanzo mwisho.
KWA KUBOFYA TU